Kisiwa Vancouver

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

49°30′N 125°30′W / 49.500°N 125.500°W / 49.500; -125.500Coordinates: 49°30′N 125°30′W / 49.500°N 125.500°W / 49.500; -125.500[1]

Ramani ya kisiwa.
Vancouver Island is separated from mainland British Columbia by the Strait of Georgia and Queen Charlotte Strait, and from Washington by the Juan De Fuca Strait.

Kisiwa Vancouver (kwa Kiingereza: Vancouver Island) kiko katika bahari ya Pasifiki, karibu sana na pwani ya Kanada. Ni sehemu ya British Columbia. Urefu unafikia km 460 na upana km 100,[2]. Eneo lake lote ni km2 32134.

Kilele cha juu ni mlima Golden Hinde wenye kimo cha m 2,195 juu ya usawa wa bahari[3].

Mwaka 2016 wakazi walikuwa 775,347.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Kisiwa Vancouver travel guide kutoka Wikisafiri

Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kisiwa Vancouver kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.