Kisissano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisissano ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasissano. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kisissano imehesabiwa kuwa watu 4780 lakini wengi wao walikufa katika maangamizi ya tsunami mwaka wa 1998. Mwaka wa 2000 idadi ya Wasissano ilihesabiwa kuwa wayu 300 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisissano iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisissano kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.