Kisikule

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisikule ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasikule kwenye kisiwa cha Simeulue. Idadi ya wasemaji wa Kisikule imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisikule iko katika kundi la Kinias.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisikule kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.