Kisibe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisibe (au Kinagovisi) ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasibe. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kisibe imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisibe iko katika kundi la Kinasioi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisibe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.