Nenda kwa yaliyomo

Kishilha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mvulana akiongea Kitachelhit.

Kishilha (sasa kinazidi kutumika jina la Kitachelhit) ni moja kati ya lugha za Kiberberi na kuzungumzwa na zaidi ya watu milioni 8, hasa Moroko.

Kishilha ni kati ya lugha za Kiafrika-Kiasia. Wasemaji watazamwa kuwa kati ya wakazi asilia wa Afrika ya Kaskazini.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishilha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.