Nenda kwa yaliyomo

Kishekhawati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kishekhawati ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Washekhawati. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kishekhawati imehesabiwa kuwa watu milioni tatu. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kishekhawati iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishekhawati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.