Kiserui-Laut

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiserui-Laut (pia Kiarui) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waserui-Laut kwenye visiwa vya Serui na Nau. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiserui-Laut imehesabiwa kuwa watu 1200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiserui-Laut iko katika kundi la Kiyapen.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiserui-Laut kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.