Kiserili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiserili ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waserili kwenye kisiwa cha Marsela. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kiserili imehesabiwa kuwa watu 300 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiserili iko katika kundi la Kibabar.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiserili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.