Kisengseng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kisengseng ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasengseng. Wataalamu wengine huiangalia kama lahaja ya Kikaulong. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kisengseng imehesabiwa kuwa watu 1750. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisengseng iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisengseng kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.