Kisene

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisene ilikuwa lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya iliyozungumzwa na Wasene. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kisene tena, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisene iko katika kundi la Kihuon.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisene kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.