Kisemnam
Mandhari
Kisemnam ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia inayozungumzwa na Wasemnam. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisemnam imehesabiwa kuwa watu 670 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisemnam iko katika kundi la Kiaslian.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisemnam kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisemnam
- lugha ya Kisemnam katika Glottolog
- lugha ya Kisemnam kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisemnam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |