Kisemandang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisemandang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasemandang kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kisemandang imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisemandang iko katika kundi la Kiland-Dayak.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisemandang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.