Kiseba (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiseba ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Waseba. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiseba imehesabiwa kuwa watu 167,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiseba iko katika kundi la M50.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiseba (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.