Nenda kwa yaliyomo

Kisauria-Paharia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisauria-Paharia ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wasauria-Paharia. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisauria-Paharia nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 54,000. Pia kuna waseaji 7000 nchini Bangladesh (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisauria-Paharia iko katika kundi la Kidravidi ya Kaskazini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisauria-Paharia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.