Kisaurashtra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisaurashtra ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wasaurashtra. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisaurashtra imehesabiwa kuwa watu 185,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisaurashtra iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisaurashtra kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.