Kisampang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisampang ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wasampang. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kisampang imehesabiwa kuwa watu 18,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisampang iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisampang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.