Kisamosa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisamosa ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wasamosa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisamosa imehesabiwa kuwa watu 90 tu, na lugha iko hatarini kutoweka punde. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisamosa iko katika kundi la Kihanseman.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisamosa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.