Kisamba (lugha)
Mandhari
Kisamba ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wasamba. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kisamba imehesabiwa kuwa watu 4200. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisamba iko katika kundi la K10.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisamba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisamba
- lugha ya Kisamba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/smx
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisamba (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |