Kisalar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisalar ni lugha ya Kiturki nchini Uchina inayozungumzwa na Wasalar. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kisalar imehesabiwa kuwa watu 70,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisalar iko katika kundi la Kiturki ya Kusini.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisalar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.