Kisalampasu (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisalampasu ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wasalampasu. Mwaka wa 1977 idadi ya wasemaji wa Kisalampasu imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisalampasu iko katika kundi la K30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisalampasu (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.