Kisabüm

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisabüm ilikuwa lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Malaysia iliyozungumzwa na Wasabüm. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kisabüm yaani lugha ya Kisabüm imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisabüm iko katika kundi la Kiaslian.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisabüm kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.