Kisô
Mandhari
Kisô ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Laos na Uthai inayozungumzwa na Wasô. Idadi ya wasemaji wa Kisô imehesabiwa kuwa watu 118,000 nchini Laos (2005) na watu 70,000 nchini Uthai (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisô iko katika kundi la Kikatuiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kisô kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisô
- lugha ya Kisô katika Glottolog
- lugha ya Kisô kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisô kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |