Kiruund

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kiruund (lugha))

Kiruund ni lugha ya Kibantu nchini Angola ambayo huzungumzwa na Waruund. Isichanganywe na Kirundi cha Burundi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiruund imehesabiwa kuwa watu 98,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiruund iko katika kundi la K30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiruund kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.