Kirongga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kirongga ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Warongga kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kirongga imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirongga iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirongga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.