Kiriung
Mandhari
Kiriung ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wariung kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiriung imehesabiwa kuwa watu 14,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiriung iko katika kundi la Kibima-Lembata.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiriung kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiriung
- lugha ya Kiriung katika Glottolog
- lugha ya Kiriung kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiriung kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |