Kiremun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiremun ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Waremun. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiremun imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiremun iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiremun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.