Kirembong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kirembong ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Warembong kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kirembong imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirembong iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirembong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.