Kirema

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kirema ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Warema. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kirema imehesabiwa kuwa watu 12 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kirema iko katika kundi la Kipapua ya Kusini-Katikati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirema kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.