Kirejang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kirejang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Warejang kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kirejang imehesabiwa kuwa watu 350,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirejang iko katika kundi lake lenyewe la Kirejang.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirejang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.