Nenda kwa yaliyomo

Kireel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kireel (pia Kiatwot) ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan Kusini inayozungumzwa na Wareel. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kireel imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kireel iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kireel kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.