Kiraute

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiraute ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Waraute. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiraute imehesabiwa kuwa watu 460. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiraute iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiraute kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.