Kiratahan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiratahan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waratahan kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kiratahan imehesabiwa kuwa watu 500 tu, na tangu pale, idadi imepungua tena sana, yaani lugha ya Kiratahan imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiratahan iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiratahan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.