Kirangkas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kirangkas ilikuwa lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi iliyozungumzwa na Warangkas. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kirangkas tena kwa vile Warangkas hutumia lugha ya Kikumaoni kama lugha yao sasa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kirangkas iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirangkas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.