Kikumaoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikumaoni ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakumaoni. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikumaoni imehesabiwa kuwa watu 2,360,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikumaoni iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikumaoni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.