Kirajong
Mandhari
Kirajong ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Warajong kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kirajong imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirajong iko katika kundi la Kibima-Lembata.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kirajong kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kirajong
- lugha ya Kirajong katika Glottolog
- lugha ya Kirajong kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kirajong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |