Nenda kwa yaliyomo

Kiraji (Nepal)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mzungumzaji wa lugha ya Raji akijitambulisha na kujadili matumizi ya kila siku ya lugha yake mwaka wa 2026

Kiraji ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Waraji. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kiraji imehesabiwa kuwa watu 3760. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiraji iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiraji (Nepal) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.