Kirahambuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kirahambuu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Warahambuu kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kirahambuu imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirahambuu iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirahambuu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.