Nenda kwa yaliyomo

Kiqaqet

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiqaqet ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waqaqet. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kiqaqet imehesabiwa kuwa watu 6350. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiqaqet iko katika kundi la “East New Britain”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiqaqet kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.