Kipunu
Mandhari
(Elekezwa kutoka Kipunu (lugha))
Kipunu ni lugha ya Kibantu nchini Gabon na jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wapunu. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipunu nchini Gabon imehesabiwa kuwa watu 123,000. Pia kuna wasemaji zaidi ya 9000 nchini Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipunu iko katika kundi la B40.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kipunu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipunu
- lugha ya Kipunu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/puu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipunu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |