Nenda kwa yaliyomo

Kipunan-Tubu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipunan-Tubu (pia Kitubu) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapunan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kipunan-Tubu imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipunan-Tubu iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipunan-Tubu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.