Kipuare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipuare ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wapuare. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kipuare imehesabiwa kuwa watu 35 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipuare iko katika kundi la Kiskou.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipuare kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.