Nenda kwa yaliyomo

Kipowari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipowari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapowari. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kipowari imehesabiwa kuwa watu 426,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipowari iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipowari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.