Kipom
Mandhari
Kipom ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapom kwenye visiwa vya Miosnum na Serui. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kipom imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipom iko katika kundi la Kiyapen.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kipom kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipom
- lugha ya Kipom katika Glottolog
- lugha ya Kipom kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipom kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |