Kipol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kipol (lugha))

Kipol (pia Kipomo) ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wapol. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipol nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 38,700. Pia kuna wasemaji zaidi ya 5000 nchini Jamhuri ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipol iko katika kundi la A90.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipol kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.