Kipiya-Kwonci
Mandhari
Kipiya-Kwonci ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wapiya na Wakwonci. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kipiya-Kwonci imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipiya-Kwonci iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kipiya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipiya
- lugha ya Kipiya katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/piy
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipiya-Kwonci kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |