Nenda kwa yaliyomo

Kipiu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipiu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wapiu. Isichanganywe na lugha ya Kipyu ambayo si lugha ya Kiaustronesia. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kipiu imehesabiwa kuwa watu 100 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipiu iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipiu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.