Kipintupi-Luritja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipintupi-Luritja ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wapintupi na Waluritja katika majimbo ya Northern Territory na Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kipintupi-Luritja 1690. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipintupi-Luritja kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipintupi-Luritja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.