Kipinji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipinji ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Wapinji. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kipinji imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipinji iko katika kundi la B30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipinji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.