Kipini (lugha)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kipini ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wapini katika jimbo la Australia Magharibi. Haijulikani kama kuna wasemaji wabakio kuongea lugha ya Kipini au la; kwa vyovyote, lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipini kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipini (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.