Nenda kwa yaliyomo

Kiphuong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiphuong ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Waphuong. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiphuong imehesabiwa kuwa watu 15,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiphuong iko katika kundi la Kikatuiki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiphuong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.